Blogu hii ambayo ni mdau mkubwa wa masuala ya urembo, inaungana na mrembo wa nguvu Tanzania, anayetikisa kwa sasa, aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, katika kuombeleza msiba mzito na mkubwa wa baba yake, Balozi Isaac Sepetu aliyefariki dunia leo, tarehe 27, 10, 2013.
Mungu ampe nguvu yeye na familia yake katika kipindi hiki kizito. Inna lilah Waina ilaihi Rajiuun!
No comments:
Post a Comment