MITINDO YA NYWELE YA WHITNEY HOUSTON

LICHA YA KIPAJI CHA UIMBAJI NA UIGIZAJI, LAKINI MITINDO YAKE YA NYWELE PIA ILIWAVUTIA WENGI NA HATA MINGINE KUPACHIKWA JINA LAKE.

HUYU SI MWINGINE, BALI NI MAREHEMU WHITNEY HOUSTON.

HII HAIMCHUKIZI MTU, UWE NA SURA PANA, NYEMBAMBA, NDEFU AMA DUARA, NI WEWE TU..ILA MUHIMU KUANGALIA MKATO WA NYWELE KATIKA KICHWA CHAKO KULINGANA NA USO WAKO.

HIZO JE WAONAJE?




HAYA MDAU, KWA MITINDO ZAIDI GOOGLE MWENYEWE PICHA ZA MWANADADA HUYO...AMEKUFA LKN MAZURI ALIYOYAACHA TUTAENDELEA KUYATUMIA...

No comments:

Post a Comment