Kwa mahitaji yako ya handbag, viatu, accesories, nguo kutoka Uingereza na Turki karibu Becket Boutique
Wapo msasani, kituo cha msikitini, karibu na kituo cha mafuta. Namba za simu 0784-443-713 na 0657-227-386
Mrembo Nunuu, muuzaji wa duka la Becket Boutique
Merry na Nunuu wakimchagulia mteja magauni (mzigo mpya kutoka Uingereza)
u
Kiatu kipo kwenye Sale na utakipata kwa sh. 50,000 tu.
Utajipatia viatu aina mbalimbali
Mikanda, vibanio vya nywele na scarf zake, hereni yaani wewe tuu
Sale sale sale, karibu upate cha saizi yako
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment