Kikuku kwa baby yellow

Rangi ya baby yellow inazidi kushika kasi kila siku...na mimi niliipenda zaidi baada ya kuchaguliwa kama sare kwenye harusi moja hivi ya marafiki. Unaweza kuchanganya rangi hiyo na nyingine mbalimbali kama vile puple, blue, nyeupe, nyeusi na nyingine kadri uwezavyo.

Tangu hapo, nikafall in luv na rangi hii..na hapa imenivutia zaidi kwenye kiatu na kikuku kilivyotulia..

Huyu dada ametoka mwake mwake yaani...yaan hapo vyote ugonjwa wangu, kikuku na rangi ya hicho kiatu uwiiiiii

No comments:

Post a Comment