Mitindo ya nywele ya Feza Kessy

Feza alikuwa mshiriki wa Big Brother mwaka huu iliyopewa jina la Big Brother The Chase...amejipatia umaarufu mkubwa nchini na Afrika kutokana na ushiriki wake huo.

Pamoja na yote ni mrembo, na mitindo yake ya nywele inambeba vilivyo na kumfanya ang'ae kwenye macho ya watu. Hii hapa chini ni baadhi ya mitindo hiyo

                                              Hapa akiwa na mpenzi wake Oneal ndani ya BBA
 Katinga kiwig kifupi chenye rangi ya Red wine kama sijakosea, maana mimi si mjuzi wa rangi hasaa, nazijua zile common tu lol


Zote ni nywele zake ambapo kapaka hiyo rangi niliyotaja hapo juu, Feza anaipenda sana rangi hii na ama hakika inampendeza


                     Hapa kama sio yeye vilee..lool.  asilimia ya mitindo yake ni  nywele fupi..

 Pendeza sanaaa..mtindo huu naupenda kweli lakini naogopa nisije onekana kituko bure hahahaha..bt ntajaribu aisee

Hapa katoka kivingine, na wig refu kiduchu..akiwa na washiriki wenzake ndani ya jumba, nyuma yake ni mshiriki kutoka Tz, Nando ambaye alitolewa kwa utovu wa nidhamu

No comments:

Post a Comment